Diamond, Chris Brown na Wizkid kwenye jukwaa moja

Diamond, Chris Brown na Wizkid kwenye jukwaa moja

Listi za wasanii watakao perform kwenye tamasha la Afronation imewekwa hadharani na kutoka Tanzania tutawakilishwa na Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.

Hata hivyo kwa upande wa Nigeria watawakilishwa na Wizkid huku kutoka pande za Mareakni itawakilishwa na Chris Brown.

Kutoka kwa list hiyo ni wazi sasa Diamond atapanda jukwaa moja ya Wizkid ma Chris Brown pamoja na wasanii wengine huku matumaini ya watanzania ni kwamba atafanya vizuri.

Wasanii wengine watakao perform ni Tekno, Burnaboy, Kizz Daniel, Patoraking, Rema, Tems, Focalistic pamoja na InnosB ma wengine wengi.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags