Msanii #DiamondPlatinumz ameendela kuwafunga midomo wale waliyodai wimbo wa ‘Shu’ sio mzuri na hautafika popote.
Diamond ameendelea ku-post ma-dj kutoka nchi mbalimbali wakitaja kuwa wimbo huo ndiyo top amapiano kwa mwaka 2023.
Kupitia video ambayo mkali huyo ame-share ameandika ujumbe akidai kuwa , “Naendelea kuwakumbusha tu wachambuzi uchwara kuwa ‘Shu’ ndiyo 2023 top amapiano ulimwenguni next time punguzeni viherehere”

Leave a Reply