DIAMOND AONESHA PETE ZAKE ZA MILIONI 460

DIAMOND AONESHA PETE ZAKE ZA MILIONI 460

Ukiambiwa watu wana jeuri ya fedha ndo hii ndugu yangu imetokea kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz ambaye ametuonesha pete zake ambazo zina thamani ya Milioni 460.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond ameshare video fupi inayaonesha amevaa pete 10 katika vidole vyake ambazo vinathamani ya zaidi ya Milioni 460.

Unaambiwa hii ndio mara ya kwanza kwa Diamond kutumia kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya pete hizo, kwani mwaka jana alituonesha vitu mbalimbali vya thamani alivyonunua.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags