Diamond an’gara Afrika Mashariki

Diamond an’gara Afrika Mashariki

Mwanamuziki #DiamondPlatnumz ameshinda tuzo ya #TheHeadies kwa mwaka 2023, katika kipengele cha msanii bora kutoka Afrika Mashariki.

Diamond ameibuka mshindi wa tuzo hiyo kupitia kipengele  hicho katika tuzo za The Headies ambazo zinaandaliwa na kituo cha TV @officialptv nchini Nigeria, huku baadhi ya wasanii wengine kama Burna Boy wameshinda kwa vipengele mbalimbali vya muziki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags