Diamond alaumiwa kuiga wimbo  wa Spyro

Diamond alaumiwa kuiga wimbo wa Spyro

Kwa mara nyingine tena nyota wa muziki Tanzania #DiamondPlatnumz amejikuta akiingia katika tuhuma za kuiga miondoko ya nyimbo za wasanii wengine kutoka maeneo mbalimbali hasa nchini Nigeria.

Wadau wa muziki wamekuja juu na kutoa lawama kwa nyota huyo kwa kudai kuwa kwenye wimbo wa #Enjoy aliyoshirikishwa na #Jux, #Diamond ameiga miondoko ya wimbo wa Spyro ft Tiwa Savage uitwao “Who’s Your Guy”.

Si mara ya kwanza kwa #Diamond kuingia katika lawama za namna hiyo, imeahi kutokea pia kwenye wimbo wa #BabaLao,#Loyal #Jeje #Gidi na nyingine nyingi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags