Diamond ala sahani moja na Burna Boy, Asake na Tyler Icu, Mtv

Diamond ala sahani moja na Burna Boy, Asake na Tyler Icu, Mtv

Msanii Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards katika kipengele cha msanii bora Africa.

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa Mtv wametoa taarifa hiyo kwa kuandika “pongezi nyingi kwa Diamond kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya Best African Act”.

Huku katika kinyang’anyiro hicho wasanii wengine wanaowania katika nafasi hiyo ni Burna Boy, Asake, Libianca na Tyler ICU.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags