Diamond aitabiria Tanzania

Diamond aitabiria Tanzania

Baada ya kuipeperusha Bendera ya Tanzania katika Tuzo ya #MTVEMA 2023 msanii Diamond ameendelea kuitabiria makubwa Tanzania kwa kudai kuwa soon bendera hiyo itakuwa katika Tuzo kubwa za Grammy.

Kupitia InstaStory ya msanii huyo ame-share picha ya bendera mbalimbali ambazo tayari zimechukua Tuzo hiyo na kueleza kuwa Bendera ya Tanzania hivi karibuni itakuwa ni miongoni mwa bendeza zitakazo wania tuzo hizo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post