Designer Alien afunguka Alikiba kuazima vazi la Marioo

Designer Alien afunguka Alikiba kuazima vazi la Marioo

Baada ya baadhi ya watu kumshambulia mwanamuziki #AliKiba kuwa ameazima vazi la msanii mwenzake #Marioo katika Tamasha la Simba day week iliopita, #Designer #Alien Drip mbaye  ndiye alibuni mavazi ya wasanii hao wawili aingilia kati swala hilo.

Alien ameleza kuwa #AliKiba hawezi kuazima nguo kwa Marioo bali Ali Kiba alipenda muonekano wa koti la Marioo akamuelekeza nani aliye buni hilo vazi.

Akiwa atika mahojiano na moja ya chombo cha habari mbunifu huyo anasema “Watanzania inabidi waelewe na kwanza wanatakiwa  waheshimu wasanii na wawape ukubwa wao nikitu cha ajabu msanii mkubwa Alikiba aazime nguo kwa Marioo yule ni brand na mimi ndio niliye buni kutokea mwanzo ilianzia kwa Marioo naye Alikiba akipenda ile brand”.

Credit PMTV






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags