Denis: Drake hawezi kutolea maoni vita ya Israel na Palestina

Denis: Drake hawezi kutolea maoni vita ya Israel na Palestina

Dennis Graham ambaye ni baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Drake, ameendelea kumkingia kifua mwanaye na kudai kuwa hawezi kuingilia wala kutoa maoni yoyote juu ya vita ya Israel na Palestina.

Akizungumza na vyombo vya habari Dennis amesema kuwa bado hajazungumza na Drake ambaye ni myahudi kuhusu mawazo yake juu ya mashambulio hayo yanayoendelea lakini ana uhakika kuwa tukio hilo lina muathiri Drake japo yupo kimya hadi sasa na anatamani asitoe maoni yoyote kuhusu vita hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags