De Gea ajiandaa kurudi uwanjani

De Gea ajiandaa kurudi uwanjani

Kipa wa zamani wa klabu ya Manchester United, David de Gea mwenye umri wa miaka 33, amerejea kwenye uwanja wa mazoezi kujifua upya baada ya kuwa nje ya uwanja kwa mwaka mmoja.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram, De Gea ame-share video akiwa katika Uwanja wa Altrincham Town, Ungereza akionesha yuko tayari kuingia kazini kwake tena.

Ikumbukwe De Gea aliondoka Man United msimu uliyopita baada kumaliza mkataba wake uliyomweka klabuni hapo kwa miaka 12, pia tangu aondoke katika kikosi hicho hajachukuliwa na timu nyingine tangu wakati huo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags