DC Tanga: msiwafunge watoto hirizi, wapelekeni hospitali

DC Tanga: msiwafunge watoto hirizi, wapelekeni hospitali

Wazazi wameshauriwa kuzingatia kuwa Watoto wakiwa na changamoto za kiafya kama kuwa na vichwa vikubwa au mgongo wazi badala ya kuishia kuwafunga hirizi miguuni, mikononi na shingoni kisha kubaki nao nyumbani wawapeleke hospitali

Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Hashim Mgandilwa amesema hayo katika maadhimisho ya Siku ya Watoto Wenye Vichwa Vikubwa na Mgongo Wazi kiwilaya, ambapo Kitaifa yanafanyika leo Oktoba 25, 2022

 Haya tena wenzangu wa mambo ya asili mnasemaje kuhusiana na kauli ya Dc mnaungamkono hoja au mnsemeje dondosha comment yako hapo chini twende sawa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags