Davido kuingiza Tsh bilioni 2 kwa siku

Davido kuingiza Tsh bilioni 2 kwa siku

Unaambiwa licha ya show anazopiga na kujaza uwanja uwanja mataifa ya nje, achana na pesa alizopewa na baba yake, achana na mijengo yake na ndege yake binafsi anayoimiliki Davido bado anatuaminisha pesa kwake inaongea.

Davido ametamba kuingiza Dola Milioni 1 kwa siku sawa na Tsh Bilioni 2 ya shabiki kumdhihaki kumuita 003 kwa kununua cheni yake ya thamani ya 001.

"Natengeneza zaidi ya dola milioni moja kwa siku, vipi wewe siku yako" Davido






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags