Chris Brown amtolea uvivu Tinashe

Chris Brown amtolea uvivu Tinashe

Nyota wa muziki kutoka Marekani Chris Brown aonesha kukasirishwa na kauli ya mwanamuziki Tinashe ya kudai kuwa anajuta kufanya ‘kobalo’ na Chris Brown na R. Kelly mwaka 2015.

Kutokana na hilo Chris Brown amtolea uvivu mwanadada huyo akionesha kuwa hana ngoma za kutambishia na kudai uwa endapo watu wakiambiwa wataje nyimbo tano za Tinashe au kufa basi wengi watakufa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags