Choo kwa ajili ya wapendanao

Choo kwa ajili ya wapendanao

Kampuni ya utengnenezaji vifaa vya chooni ‘TwoDaLoo Company’ miaka ya 1991 ilivumbua wazo la vyoo viwili ‘double toilet’, kwa ajili ya wapendanao.

Wazo la kuanzishwa kwa vyoo hivyo ni kwa ajili ya wapendanao na wanandoa ambao vilipewa jina la ‘Lovers Toilet’ kuwarahisishia wapendanao ambao wanataka kufanya kila kitu pamoja, hadi wawapo faragha.

Huku choo hicho kikikadiriwa kuuzwa kwa zaidi ya dola 1,400 ambayo ni zaidi ya tsh 3 milioni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags