Chino na Marioo wamaliza bifu lao

Chino na Marioo wamaliza bifu lao

Baada ya kuripotiwa kuwa na bifu miezi kadhaa iliyopita, hatimaye Chino, Marioo wameonekana pamoja na kumaliza tofauti zao.

Wawili hao walionekana pamoja wakitumbuiza nyimbo ambazo wamewahi kufanya pamoja usiku wa kuamikia leo katika tamasha la ‘Wana wa Hunu Hunu’ lililofanyika Muheza Mkoani Tanga.

Ikumbukwe kuwa February mwaka huu Chino alizungumza na Mwananchi Scoop akidai kuwa hakukua na upendo kati yao kutokana na baadhi ya watu kumpelekea maneno ya chuki Marioo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags