Chidi beenz: Nikiongea watu wanasema madawa

Chidi beenz: Nikiongea watu wanasema madawa

Mwanamuziki wa Hip-hop nchini #ChidiBeenz ameonesha kutofurahishwa na watu wanaomtafsiri vibaya kuwa kila anapoongea wanadhani ni madawa ya kulevya, ndiyo yanafanya aongee huku akidai kuwa wanaomuelewa ni wachache.

Ameyasema ya kupitia ukurasa wake wa Instagram, ame-share video akiongea kupitia video hiyo.

Kuangalia video hiyo nenda katika ukurasa wa Instagram @mwananchiscoop

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags