Chemical: Nimejioa mwenyewe

Chemical: Nimejioa mwenyewe

Wakati watu wakihangaika kutoleana michango kwa ajili ya harusi basi bwana huku wengine wanaamua kuchukua maamuzi magumu ya kujioa wenyewe, hii imetokea badaa ya msanii wa muziki Tanzania Chemical kusambaa kwa picha zake akiwa katika shera matata sana ikimaanisha kuwa ameolewa.

Mwanadada huyo kupitia mahojino yake kwenye kipindi pendwa Tz, Chemical alifunguka na kueleza kuwa “ kikubwa lile shera nililovaa ni Atwork ya ngoma yangu mpya ni ndoto yangu kuja kuvaa vile ili muone utofauti kati ya Chemical wa kwenye shera na huyu mwingine na kuhusu maswala na ndoa mimi am marriage to my self and my career, akiwa na manaa kuwa amejioa mwenyewe, maana mimi siamini katika ndoa na kuolewa kwangu sio heshima” amesema Chemical

Alooooh! Haya haya kumekucha mwenzenu hataki strees za kuachwa haya wewe mwanangu sana wa mwananchi scoop embu dondosha komenti yako hapo chini unamshauri nini mwanadada huyu.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags