Cheed Aachia Ngoma Mpya

Cheed Aachia Ngoma Mpya

E bwana eeh !! Best vocalist, Cheed kutoka Konde Music Worldwide ameachia wimbo wake wa kwanza  unaokwenda kwa jina la ‘Wandia’ baada ya siku zaidi ya 350 kupita tangu atambulishwe kwenye lebo hiyo.

Unaambiwa bwana kwenye ngoma hiyo mpya  Cheed ameimbia namna msichana wa Kibantu ambaye aliamua kumpenda kijana mwenye maisha duni bila kujali wanapitia changamoto gani maishani lakini alikua akimpenda na kumjali.

Aiseee hili goma na mikimiki ya sasa ya mahusiano limekuja wakati muafaka au unasemaje mdau?. Tupia maoni yako kwenye website yetu www.mwanachi scoop.co.tz.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags