Chanzo kifo cha Baba T chatajwa

Chanzo kifo cha Baba T chatajwa

Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock cha EATV, Baba T, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.

Rafiki wa karibu na marehemu Baba T, Gota Irie amesema taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa kwa sasa wanasubiriwa ndugu zake kutoka nje ya nchi.

Marehemu atakumbukwa kwa utendaji wake wa kazi na ucheshi.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags