Channing amvisha pete Zoe

Channing amvisha pete Zoe

Waigizaji kutoka nchini Marekani #ZoëKravitz na #ChanningTatum wameripotiwa kuchumbiana weekend iliopita baada ya kukaa miaka miaka miwili kwenye mahusiano.

Kwa mujibu wa #TMZ News inaeleza kuwa #Zoe alivishwa pete na Channing kama ishara ya kudumisha uchumba wao na kuweka matarajio ya kufunga ndoa.

Wawili hao walianzisha mahusiano ya kimapenzi Mwaka 2021 wakiwa Location wakiandaa ‘filamu’ ya #PyIsland.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags