Casemiro kufanya vipimo leo

Casemiro kufanya vipimo leo

Kiungo wa #ManchesterUnited, #Casemiro anatarajiwa kufanyiwa vipimo  leo baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati akicheza katika ‘timu’ yake ya Taifa ya Brazil.

Aidha ‘klabu’ hiyo inasubiri habari mpya baada ya vipimo kutoka kwa daktari kutokana na jeraha hilo alilopata Casemiro katika ‘mechi’ ya kitaifa, huwenda akawa nje ya kikosi hicho kutokana na jeraha hilo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags