Cardi B athibitisha kutemana na Offset

Cardi B athibitisha kutemana na Offset

Muda machache umepita tangu mume wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Cardi B, Offset kudaiwa kutoka kimapenzi na Chrisean Rock ambaye ni mama watoto wa mwanamuziki Blueface, hatimaye Cardi ameweka wazi kuwa ameachana na Offset.

Cardi B amethibitisha kuachana na Offset akiwa live kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kueleza kuwa sasa yupo single alikuwa anafikiria jinsi ya kuiambia dunia kuwa kwa sasa yupo single ila leo ameweza kueleza ukweli wote kwa sababu anataka kuanza mwaka 2024 upya, akiwa na mawazo mapya .

#CardiB Na #Offset walifunga ndoa Septemba 2017 na kubahatika kupata watoto wawili ambao ni Kulture (5) na Wave (2).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags