Camera yamnasa Serena akibinua mdomo baada ya Chris Brown kutajwa Tuzo za MTV

Camera yamnasa Serena akibinua mdomo baada ya Chris Brown kutajwa Tuzo za MTV

Camera zamnasa Serina Gomez akibinua mdomo baada ya jina la Chris Brown kutajwa katika tuzo za MTV siku ya jana kwenye kipengele cha Video Music Award.

Video hiyo yazua Maneno na utata kwenye mitandao ya kijamii, huku watu wakidai kuwa Serina anamchukia Chris hadharani bila kuficha.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags