Bwax: Mimi ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania

Bwax: Mimi ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania

Msanii wa muziki wa singeli nchini Mzee wa Bwax amedai kuwa yeye ndiye msanii mkubwa wa singeli Tanzania amesema hayo baada ya kuitwa katika tamasha la Wasafi Festival.

Mzee wa Bwax amedai kuwa msanii mkubwa lazima atumbuize kwenye matamasha makubwa kama tamasha ambalo yeye ametumbuiza.

 

Dondosha comment yako unakubaliana na kauli ya Bwax?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags