Burnaboy afanya kolabo  na 21Savage

Burnaboy afanya kolabo na 21Savage

Mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Burnaboy anaendelea kuvuka boda kwa kufanya ‘kolabo’ na wasanii mbalimbali katika mataifa makubwa, na sasa ameshirikishwa kwenye Album mpya ya ‘rapa’ 21Savage iliyotoka leo Januari 12.

Album hiyo ambayo imepewa jina la ‘American Dream’ imeshirikishwa ma-staa mbalimbali wakiwemo #Dojacat, #TravisScott na wengineo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags