BREAKING NEWS  Ajali  ya School Bus yaua 10 Mtwara

BREAKING NEWS Ajali ya School Bus yaua 10 Mtwara

Basi  la kubebea  Wanafunzi  la shule ya King Davidi iliyopo Manispaa ya mtwara Mikindani limepata ajali asubuhi hii likiwa limebeba Wanafunzi

Mashuhuda wa ajali hiyo tayari wameanza kuwatoa nje Watoto waliokuwemo ndani ya gari hilo aina ya hiace ambalo limetumbukia mtaroni ambapo picha nyingine ambazo sijaziweka hapa zinaonesha Watoto wakiwa wamelazwa barabarani baada ya kutolewa kwenye gari.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mtwara Nicodemus Katembo amesema kuwa Kwenye ajali hiyo taarifa zinaeleza kuwa watu waliofariki ni 10 ambapo Wanafunzi 8, dereva 1 na Muangalizi 1 huku majeruhi wakiwa 19.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags