Bow wow ajutia kuwa mwanamuziki

Bow wow ajutia kuwa mwanamuziki

Msanii kutokea nchini Marekani, Bow Wow amefunguka na kusema kwamba anajutia kuwa mwanamuziki.

Bow Wow ametoa kauli hiyo wakati akiulizwa maswali na mashabiki zake huko Twitter ambapo alisema anajutia sana kufanya muziki ni bora angefanya uigizaji tu.

Majibu hayo aliyatoa baada ya kuulizwa kuwa ni kitu gani anajutia zaidi kwenye biashara yake ya muziki.

‘Before 30’ ndio jina jina la album yake ya mwisho aliyoitangaza kuwa ataiachia hivi karibuni na kuachana rasmi na masuala ya muziki.

 

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags