Bongo Zozo awatolea povu wasioungana na Stars

Bongo Zozo awatolea povu wasioungana na Stars

Aliyeteuliwa kuwa muhamasishaji wa #TaifaStars katika mashindano ya #AFCON, #BongoZozo amewatolea povu Watanzania wanoshindwa kuungana na ‘timu’ ya Taifa Stars katika mashindano hayo.

Muhamasishaji huyo kupitia ukurasa wake wa #Instagram ameeleza kuwa Watanzania wanatakiwa kuwa kipaumbele ku-support ‘timu’ yao katika mashindano hayo. Hata hivyo Bongo Zozo ameeleza kuwa baada ya miaka 39 Stars ndiyo inaonekana sasa, hivyo mashabiki wa Tanzania wasiwe na haraka ya matokeo makubwa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags