Bobby Shmurda atoa ngoma baada ya kutoka jela

Bobby Shmurda atoa ngoma baada ya kutoka jela

Rapa kutoka nchini marekani  Bobby Shmurda @itsbobbyshmurda ametoa ngoma yake ya kwanza baada ya kutoka gerezani na kuachiwa huru toka  feb 23,2021.

 Rapa huyo ameamua kuwakatakiu mashabiki zake kwa kuachia  rasmi ngoma mpya leo sep 3,2021 aliyoipa jina la ‘’NoTimeTo Sleep’’.

 Ikumbukwe kuwa  Hit maker huyu wa "Hot N*gga" alihukumiwa Kifungo cha Miaka 7 jela mwaka 2016, kufuatia Kuhusishwa na Mauaji ikiwa ni baada ya kunyimwa msamaha na Maofisa wa Parole septemba 2020 suala ambalo lilimbidi aendelee Kutumikia Kifungo hadi mwishoni mwaka 2021 Disemba 11

Hata hivyo Rapa huyu alipata bahati baada ya TAC (Time Allowance Committee) Kutengua uamuzi  uliyochukuliwa na Maofisa wa Parole Kwa Kuidhinisha kifungo Cha Bobby Kumalizika Februari 23, 2021






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags