Abiria atumia mlango wa dharura kujirusha, Kabla ndege haijatua

Abiria atumia mlango wa dharura kujirusha, Kabla ndege haijatua

Mwanaume mmoja aliyekuwa abiria ndega ya shirika la Southwest mwenye umri wa miakia 38 amepelekwa hospitali kufanyiwa matibabu baada ya kuruku kwa kupitia mlango wa dharura wakati ndege ikijiandaa kutua.

Tukio hilo limetokea siku ya Jumapili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Louis Armstrong New Orleans wakati ndege ilikuwa bado haijatua, mwanaume huyo alifungua mlango wa dharula na kuruka, Ofisi ya Sheriff ya Parokia ya Jefferson imethibitisha tukio hilo huku madaktari wakieleza kuwa mwanaume huyo alipata tatizo la afya ya akili.

Kutokana na abiria huyo kukutwa na tatizo la Afya ya akili inaelezwa kuwa hatofunguliwa mashitaka yoyote.
.
.
.
#MwananchiSsoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags