Billnass: Mwanangu anabebwa na watu maarufu, Idriss alibebwa na wachawi

Billnass: Mwanangu anabebwa na watu maarufu, Idriss alibebwa na wachawi

 Mwanamuziki Billnass ameonesha furaha yake kwa kudai kuwa mtoto wake mdogo #Naya amebahatika kwani katika umri wa mwaka mmoja amebebwa na watu maarufu.

Kama ilivyo kawaida yake Nenga na Idriss kufanyiana utani mara kwa mara, awamu hii Billnass amedai kuwa yeye wakati akiwa mdogo alikuwa akibebwa na wakulima.

Hata hivyo Billinass hakumuacha salama Idriss kwa kudai kuwa kwa upande wa nyota huyo wa maigizo alikuwa akiishia kubebwa na wachawi tu wakati akiwa mdogo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags