Bilioni 34 zatengwa pambano la Will Smith na Chris

Bilioni 34 zatengwa pambano la Will Smith na Chris

Bondia wa Marekani Jake Paul amekuwa mtu wa deal sana, akiona fursa tu anataka kupita nayo, ameibuka kuwapa ofa ya Dolla Milioni 15 sawa na Sh. Bilioni 34 kila mmoja kati ya Will Smith na Chris Rock kuzichapa ulingoni mwezi August mwaka huu.

Wawili hao wamezua gumzo mitandaoni kwenye tuzo za Oscar Marekani baada ya Will Smith kumpiga kofi mchekeshaji Chris Rock aliyefanya utani kwa kumcheka mkewe Jada Smith.

Ikumbukwe Jake Paul alitoa ofa ya Tsh Bilioni 69 kwa Kanye West na mchekeshaji Pete Davidson kupambana ulingoni raundi 6 ili kumaliza bifu lao kwa Kim Kardashian.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags