Bieber abuni mbinu kupunguza uzito kwenye pochi za wanawake

Bieber abuni mbinu kupunguza uzito kwenye pochi za wanawake

Mwanamitindo kutoka nchini Marekani Hailey Bieber yuko mbioni kuzindua kava za simu ambazo zitaweza kuwasaidia wanawake wanaopenda kupaka lipstick, kuhifadhi kipodozi hicho nyuma ya 'kava'.

'Kava' hilo ambalo limepewa jina la ‘Rhode’ litaweza kutumika na watumiaji wa simu za Iphone 14 na 15 ambapo litaghalimu dola $ 35 ambayo ni zaidi ya tsh 90 elfu.



Rhode linatarajiwa kuanza kupatikana kupitia tovuti ya ‘Rhodeskin.com’ ifikapo Februari 27, huku mrembo huyo alieleza kuwa lengo la kubuni 'kava' hilo ni kupunguza uzito na wingi wa vitu kwenye pochi za mabinti.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags