Bernardo hatoweza kucheza ‘Mechi’ zijazo

Bernardo hatoweza kucheza ‘Mechi’ zijazo

‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya Manchester City #PepGuardiola amesema kuwa ‘klabu’ yake ipo kwenye matatizo baada ya #BernardoSilva kuumia na kuongeza idadi ya majeruhi kwenye kikosi hicho.

Aidha kiungo huyo ameumia na kutolewa kabla ya mapumziko katika mchezo ambao Man City iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Red Star Belgrade kwenye ‘Ligi’ ya Mabingwa #Ulaya.

Hata hivyo Guardiola  meeleza kuwa Bernardo hataweza kucheza ‘mechi’ zijazo kwa muda usiojulikana.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags