Ben Pol kuiwakilisha Afrika Egypt

Ben Pol kuiwakilisha Afrika Egypt

Star wa Muziki wa R’Nb Tanzania Ben Pol amekuwa miongoni mwa mastaa wachache vijana watakaoshiriki jukwaa kubwa zaidi la vijana duniani la WorldYouthForum.

Jukwaa hilo kubwa linatarajiwa kufanyika jijini Sharm El Sheikh nchini Egypt kuanzia Januari 10 hadi 13.

Msanii Ben Pol ataambatana na mastaa wengine kama Inspector Murilo wa Spain aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia series ya Money Heist, muingizaji na mchekeshaji Anwar (America)na wengine.

World Youth Forum ilianzishwa mwaka 2017 nchini Egypt na kuzinduliwa na Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah Al-Sisi.

 

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags