BEKA FLAVOUR AFUTIWA VIDEO ZAKE  YOUTUBE

BEKA FLAVOUR AFUTIWA VIDEO ZAKE YOUTUBE

Msanii wa Bongo Fleva Beka flavor amefunguka bwana baada ya kutokea sinto fahamu ya kufutiwa video zake mbili ambazo ni Libebe pamoja na Sikinai katika akaunti yake ya Youtube takribani miezi miwili sasa imepita.

Aidha  bado hajajua zimefutwa na nani ila kwa mujibu wa Youtube wamesema video hizo zimefutwa na Mmoja wa watu anaofanya nao kazi.

Beka ameshare taarif hiyo kupitia Instagram yake huku akiwaomba mashabiki zake waendelee kumsapoti kwa sababu 2022 kuna kazi nzuri zinakuja.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post