Batuli: chuki ni tabia

Batuli: chuki ni tabia

Aisee mambo ni moto mambo ni fire hivyo ndivyo naweza kusema siku ya leo bwana nikwambie tu kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa muigizaji Batuliactresstz ameandika hivi.

“Watu Wametuzidi Kila Kitu Katika Maisha Lakini Wanatuchukia Hii Hudhihirisha Kwamba CHUKI Haina Mahusiano Na MAFANIKIO Bali Ni Tabia Ya Mtu…..✍🏽''

Ebwana eeeh!! Hayo ndiyo maneno aliyoandika batuli kwenye ukurasa wake vipi kwa upande wako mdau unamuunga mkono au unasemaje? Tupia comment yako hapo kwenye  website yetu www.mwananchiscoop.co.tz.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags