Barnaba: Lawama hazimalizi shida zako

Barnaba: Lawama hazimalizi shida zako

Mwanamuziki #BarnabaClassic anawakumbusha watu kuto kwamishwa na maneno wanapotaka kufikia malengo yao , Barnaba amedai kuwa ukifanyiwa ubaya usalalamike angalia mbadala na namna ya kutoka kwenye mtego.

Kupitia #InstaStory yake Mopao ameandika,

 “Narudia kukusisitiza kwenye maisha yako watu wakikukosea  kwenye hatua zako au mipango yako  au kukufanyia ubaya usilalamike.

Angalia mbadala na namna ya kutoka kwenye mitego yao kisha endelea na mchakato hadi utimize nia yako, lawama hazimalizi shida zako, don’t blame.”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags