Barnaba: Diamond endelea kutufungua njia

Barnaba: Diamond endelea kutufungua njia

Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa mwanamuziki Diamondplatnumz, baadhi ya watu wameendelea kumtakia kheri kwa maneno mbalimbali.

Kwa upande wa wanamuziki Barnaba Classic, amemtakia Diamond maisha marefu yenye baraka huku akimtaka aendelee kufungua njia katika tasnia ya muziki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags