Bango la Zamaradi lazua gumzo mtandaoni

Bango la Zamaradi lazua gumzo mtandaoni

Aisee unaambiwa kopa limejaa bwana au watoto wa mjini wasema Mahaba ndi ndi ndi yamedhihirishwa live na Mtangazaji na mjasiriamali Zamaradi Mketema baada ya kuweka bango lenye sura ya mume wake bwana.

Sasa basi kutoka Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema ameanduika ujumbe huu hapa.

 “Kama mapenzi uchizi acha niwe, Ni ngumu kuzungumzia thamani yako kwa maneno nikaeleweka, ASANTE KWA KILA KITU!!! I will make sure you are the HAPPIEST MAN alive, NAKUPENDA we mwanaume, Nakupenda sana Mume wangu, Sana Sana Sana!!! Happy Valentines Baby!"

Ebwana eeh!! simchezo mambo ma mahaba hayo niambie kwa upande wako mdau umepata zawadi gani?au ndo zile zile tulizozizoea.? Dondosha comment yako hapo.







Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags