Baba Levo: Kupitia Diamond unaweza kufanya vitu vikubwa

Baba Levo: Kupitia Diamond unaweza kufanya vitu vikubwa

Msanii #BabaLevo amefunguka akidai kuwa kupitia #Diamond unaweza ukafanya mambo makubwa, yeye humuita powerful kutokana na uwezo wake katika soko la muziki nchini.

Ameyazungumza hayo kwa kusema Diamond anaweza kufanya vitu ambavyo wengine wanasema havitawezekana na vinawezekana kwake, kwa hiyo akikupa mgongo lazima ufanye vitu vikubwa na uonekane.

 Hata hivo Baba Levo amedai kwa mtu yeyote anayetaka kufanya naye show lazima awe na milioni 10 bila hivyo hawezi kukubali kufanya show.
Credit SnS

.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post