Baada ya sare, Simba na Power Dynamos kukiwasha kwa Mkapa

Baada ya sare, Simba na Power Dynamos kukiwasha kwa Mkapa

Katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa Levy Mwanawanda nchini Zambia, kati ya ‘Klabu’ ya Simba na Power Dynamos ‘timu’ zote zimetoka 2-2 kwenye dakika ya 90. Huku mfungaji wa mabao yote kwa timu ya Simba akiwa ni Clatous Chama.

Marudiano ya mchezo huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika utachezwa tena Octoba 1, kwenye Uwanja wa Mkapa.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post