Aziz Ki mchezaji bora oktoba, Yanga

Aziz Ki mchezaji bora oktoba, Yanga

Baada ya ‘Klabu’ ya Yanga kuanzisha Tuzo za mchezaji bora wa mwezi, hatimaye ‘Klabu’ hiyo imemtangaza mchezaji Aziz Ki kuwa ndiye mchezaji bora wa mwezi Oktoba.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa ‘Klabu’ ya Yanga wame-share taarifa hiyo kwa kueleza kuwa ndiye mchezaji wa kwanza kubeba Tuzo hiyo akiwashinda Maxi Nzengeli na Dickson Job aliyoingia nao Fainali.

Tuzo hizo zilizo dhaminiwa na NIC Insurance ambapo walitoa kiasi cha Tsh million 900 kwa kipindi cha miaka mitatu.

.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags