Ayra Starr: Mama anataka nivae sketi ndefu

Ayra Starr: Mama anataka nivae sketi ndefu

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria Ayra Starr ameweka wazi kuwa mama yake mzazi amemwambia aanze kuvaa nguo ndefu.

Kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) mwanamuziki huyo ali-share video akiwa anacheza iliyoambatana na ujumbe uliokuwa ukieleza kuwa mama yake alimwambia aanze kuvaa sketi ndefu zaidi, ikimaanisha kuwa aachane na sketi fupi alizozoea kuvaa.

#AyraStarr anaendelea kutamba zaidi kupitia ngoma zake ikiwemo, ‘Rush’, ‘Sability’, ‘Overloading’ ‘Stamina’ aliyomshirikisha Tiwa Savage na nyinginezo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags