Aweka rekodi ya dunia ya guiness juu ya mlima Kilimanjaro

Aweka rekodi ya dunia ya guiness juu ya mlima Kilimanjaro

Mwanadada Siobhan Brady ameweka rekodi ya Dunia ya Guiness kwa kupiga kinubi kwa dakika 34, akiwa juu ya Mlima Kilimanjaro kwenye futi 19,000, mwanadada huyo ambaye amepiga kinubi akiwa kwenye kilele cha mlima, amevunja rekodi ya Siobhan ambaye mwaka 2018 alipiga kinubi kwa dakika 18 akiwa kwenye futi 16,000 za Mlima Himalaya nchini India  .

Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali  Gerson Msigwa ameandika kwenye ukurasa wake wa #Instagram ujumbe usomekao,

“Rekodi hii inaitwa “Guiness World Record for the Highest Harpist Concert” na imerekodiwa na kituo runinga cha Kimataifa kiitwacho National Geographic.

Kamati ya Dunia ya Guiness inasubiriwa kuthibitisha rekodi hiyo. Kudos @wizarayamaliasilinautalii kwa kusimamia safari hii”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags