Aswekwa gerezani miaka 10 kwa kumpiga risasi Megan

Aswekwa gerezani miaka 10 kwa kumpiga risasi Megan

Hatimae Rapper kutoka Canada, Tory Lanez ahukumiwa miaka 10 gerezani kwa kosa la kumpiga risasi Megan Thee Stallion.

Msanii huyo alikutwa na hatia ya kumpiga risasi mwanamuziki huyo wa Hip Hop na mshindi wa Grammys, chanzo ilikuwa ni mzozo baada ya wawili hao kuondoka kwenye sherehe nyumbani kwa Kylie Jenner mwezi Julai 2020.

Hukumu hiyo imetolewa katika Mahakama ya jiji la Los Angeles na jaji David Herriford siku ya jana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags