Arnold Schwarzenegger ashitakiwa  kusababisha ajali ya gari

Arnold Schwarzenegger ashitakiwa kusababisha ajali ya gari

Muigizaji mkongwe kutoka nchini #Marekani Arnold Schwarzenegger anatarajia kufikishwa mahakamani baada ya kusababisha ajali ya gari iliyotokea #LosAngeles Januari mwaka jana.

Kwa mujibu wa #TMZ imeeleza kuwa mwanamama #CherylAugustine amefikisha kesi mahakamani kwa lengo la kudai fidia aliyo tumia katika matibabu kutokana na ajili hiyo kumsababishia ulemavu.

#Cheryl alifunguka na kudai kuwa #Arnold alikusudia kumkonga kutokana na uendeshaji wake mbaya.

Hii si mara ya kwanza kwa muigizaji huyo kukutana na kesi za aina hiyo wiki kadhaa zilizopita mwanamama #JoanneFlickinger alifikisha kesi mahakamani baada ya kugongwa na gari na #Arnold mwezi Februari mwaka huu.

.

.

#MwananchiScoop

#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags