Apata upofu baada ya kushora tattoo kwenye nyusi

Apata upofu baada ya kushora tattoo kwenye nyusi

Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Anaya Peterson mwenye umri wa miaka 32 amepoteza uwezo wake wa kuona baada ya kuchora Tattoo kwenye nyusi.

Anaya alishawishika kuchora tattoo hizo kutoka kwa mwanamitindo Amber Luke. Anaya ambaye ni raia wa Ireland amepata upofu wa moja kwa moja baada ya kemikali zilizotumika kuchora tattoo hizo zenye rangi ya bluu na zambarau Kuingia machoni.

Naya alichora tattoo hizo mwaka 2020 mwishoni. Amekaa kwa miezi kadhaa bila kuona madhara yoyote lakini mwaka 2021 aliamka na kukuta macho yake yakiwa yamevimba.

Haya haya, wale maslay queen na mabishoo wa mjini, hawa watu maarufu usiwaige kila kitu wanachofanya, utajikuta matatizoni bila sababu za msingi ona sasa kilichomtokea huyu dada.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags