Anwar Ghazi  kuziba pengo la Antony na Sancho Man United

Anwar Ghazi kuziba pengo la Antony na Sancho Man United

Kufuatia sekeseke lililoikumba hivi karibuni ‘klabu’ kutoka nchini Uingereza Manchester United kuhusiana na baadhi ya wachezaji kuwekwa nje kwa muda usiojulika, hatimaye wamefanya maamuzi ya kumsajili winga Anwar Ghazi akitokea PSV Eindhoven ya Uholanzi.

Anwar ni mchezaji huru baada ya kumalizana na ‘klabu’ yake hiyo week iliyopita kwa makubaliano maalumu. Mchezaji huyo inasemekana kuwa alikuwepo jukwaani wakati Man U ikipoteza mchezo wake dhidi ya Arsenal.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags