Ancelotti: Bado nipo Real Madrid

Ancelotti: Bado nipo Real Madrid

‘Kocha’ wa  ‘klabu’ ya #RealMadrid, Carlo Ancelotti amekanusha taarifa za yeye kwenda kuitumikia ‘timu’ ya Taifa ya Brazil msimu ujao.

 Aidha Ancelotti amesema hizo ni tetesi tuu yeye anafurahia kuwa Real Madrid. Ikumbukwe hivi karibuni taarifa zilitoka kuwa Don Ancelotti tayari ‘amesaini’ mkataba na ‘timu’ ya Taifa ya Brazil na msimu ujao hatokuwa na Madrid.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags